Top Stories

Visa vya corona vyafikia 260 Uganda, hakuna kifo hata kimoja

on

Wizara ya Afya Uganda imesema wagonjwa wengine 12 wa corona wameongezeka na kufanya idadi ya maambukizi kufikia 260, waliopona wamefikia 63 na hakuna kifo>>”Madereva wa Malori 32 ambao nao wamebainika kuwa na corona tayari tumewarejesha kwenye Nchi zao”

RC AZUIA MAGARI YA MIZIGO KUTOKA KENYA ‘WAKENYA 19 WAKUTWA NA CORONA

ULIIKOSA HII YA MABESTE KUFUNGUKA MZAZI MWENZIE KUZAA MTOTO NA MWANAUME MWINGINE BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments