Duniani

PICHA 15: Hotel kali zaidi Duniani zilizopo Visiwani, Afrika zipo mbili

on

Kwa watu wangu wanaopenda kutembelea sehemu nzuri kwa ajili ya mapumziko ninayo list ya Hotel kali zaidi ambazo zipo kwenye Visiwa na ambazo zimekuwa zikivutia watu wengi.

April 6, 2017 nakusogezea list hiyo ambayo ilichapichwa March 28, 2017 na mtandao maarufu wa CNN ukizitaja Hotel 15 ambapo mbili kati ya hizo zipo Afrika.

1: Lacaula Island – Fiji

2: Anantara Medjumbe Island Resort – Mozambique

3: Southern Ocean Lodge – Australia

4: Cap Juluca – Anguilla

5: Belmond Villa Sant’Andrea – Sicily, Italia

6: Four Seasons Resort Oahu at Ko Olina – Hawaii, Marekani

7: Secret Bay – Dominica

8: Soneva Jani – Maldives

9: The Naka Island, A Luxury Collection Resort & Spa – Phuket, Thailand

10: The Cliff Hotel – Jamaica

11: Cavo Tagoo – Mykonos, Igiriki

12: Belmond La Samanna – St. Martin

13: Nihiwatu – Sumba Island, Indonesia

14: North Island – Seychelles

15: CéBlue Villas and Beach Resort – Anguilla

VIDEO: Umesikia ujenzi wa hoteli Zanzibar, zimebadilishwa hekari 30 za bahari kuwa nchi kavu. Bonyeza play kutazama.

Soma na hizi

Tupia Comments