Mix

Kutana na visiwa vingine 10 vyenye mvuto zaidi duniani. >>> Pichaz!

on

XXX

Kuna visiwa vingi sana duniani vizuri na venye mvuto vinavyo ungana na bahari, na kwa baadhi za sehemu dunia kama Finland hufahamika kuwa na visiwa visivyopungua 180,000.

Lakini hapa chini nimekusogezea picha za visiwa 10 venye mvuto zaidi duniani. Visiwa hivi vimetajwa kuwa visiwa kumi bora venye mvuto zaidi duniani kutokana na orodha iliyotolewa na World’s Best Islands List.

islands1

Kisiwa hiki kinaitwa Galapages Islands (Ecuador) ni miongoni mwa visiwa vinavyopendwa zaidi na watalii duniani.

islands2

Kisiwahiki kinaitwa Malta na ni kisiwa pekee kisichokuwa na mchanga wala miti, chenyewe kimezungukwa na mawe tu.

islands3

Great Barrier Reef Islands kutoka Austrlia nacho kimetajwa, kisiwa hiki kina zaidi ya samaki 400 wa jamii tofauti.

islands4

Kauai ni kisiwa kilichopo Hawaii, ni kisiwa cha zamani kuliko vyote Hawaii.

islands5

Hiki pia ni kisiwa kingine kutoka Hawaii kinaitwa Maui, nacho kipo kwenye orodha ya visiwa venye mvuto zaidi duniani.

islands6

Moorea (French Polynesia) ni kisiwa kilichopo Ufaransa na kimepakana na kisiwa cha Bora Bora

islands7

Kisiwa cha Santorini kilichopo Greece nacho kimetajwa pia.

islands8

Tasmania kisiwa kilichopo Austrlia nacho kipo kwenye orodha ya visiwa venye mvuto zaidi duniani.

islands9

Maldives ni kisiwa chenye kimo kifupi cha maji duniani na vyumba vingi vya hoteli vimejengwa juu ya maji.

islands10

Kisiwa kingine kilichotajwa kwenye Orodha ni hiki hapa,kisiwa hiki kinaitwa Bali na kipo nchini Indonesia.

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook naInstagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments