Top Stories

“Vita na Urusi ngumu kumalizika”Zelenskiy

on

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amesema wakati wa mahojiano na Telethon ya Umoja wa Habari siku ya Jumamosi kwamba “majadiliano kati ya Ukraine na Urusi bila shaka yatafanyika” na kwamba ni vigumu kupata ushindi na ili kumaliza vita hakika njia ya diplomasia inahitajika.

Zelenskiy aliyesitisha mazungumzo ya amani kule Uturiki amesema nchi yake sasa iko tayari kwa awamu nyingine ya mazungumzo na Urusi kwa sharti kwamba pande mbili zisitishe mapigano.

“Nilidhani kwamba vita vinaweza kumalizika kwa mazungumzo. Lakini, kwa bahati mbaya, nilifikiri kwamba hii ilikuwa mazungumzo na wakati unaofaa, kwamba itawezekana kupata majibu ya maswali mengi na maamuzi mengi na upande wa Urusi. Niliwaza hivyo kweli. Na sasa ni mseto. Ndio maana vita ni ngumu sana,” amesema Zelenskiy

Soma na hizi

Tupia Comments