Michezo

Vitu vya kufahamu kuelekea fainali ya Ndondo Cup 2020

on

Fainali ya michuano ya Ndondo Cup 2020 sasa kuchezwa uwanja wa chuo cha utalii Bandari siku ya Jumapili ya October 4 ikizikutanisha timu za Banda FC dhidi ya Toroli Kombaini.

Mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu kati ya Mamu Pharmacy dhidi ya Keko Mwanga utachezwa October 3 katika uwanja wa jeshi Air Wing jijini Dar es Salaam.

Sababu za kiusalama ndio zimepelekea mchezo huo kupelekwa huko na utaruhusiwa kuingia watu 30 tu kwa kila timu idadi hiyo ikijumuisha wachezaji wa timu zote jumla 60.

Soma na hizi

Tupia Comments