Top Stories

Vituko vya Mzee wa Mjegejo anaye-trend mitandaoni, asimulia maisha yake (video+)

on

Kutokea Bagamoyo Mkoa wa Pwani, Ayo TV na Millardayo.com inakukutanisha na mtanzania ambaye hivi karibuni amejizolea umaarufu mitandaoni kutokana na mtindo wa uchekeshaji wake, anafahamika kwa Mina la Omary Issa huku umaarufu wake ukiwa ni “Mzee wa Mjegejo”.

RAIS SAMIA AFUNGUKA “NAITWA BI TOZO, LINANIGUSA NDANI YA MOYO, TOZO ITAENDELEA”

Tupia Comments