AyoTV

VIDEO: Matukio ya kuchekesha wakati wa kupitisha Bajeti Kuu

on

June 20, 2017 Bunge lilipitisha Mapendekezo ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/18 ambapo Wabunge walipiga kura za wazi kwa kusema ama NDIO au HAPANA ambapo pamoja na tukio hilo yapo mengine yalijitokeza na haya ni baadhi ya matukio ya kuchekesha yaliyojitokeza wakati wa zoezi hilo…

FULL VIDEO: Mbunge wa Ukonga Waitara alivyotolewa Bungeni 

Soma na hizi

Tupia Comments