AyoTV

Jokate yuko busy na biashara, hatoonekana kwenye media na kuna hii ishu hata akiulizwa hatojibu

on

Pamoja na kuzungumzia ishu yake ya kupostiwa kwenye account ya Instagram ya mwigizaji na mwimbaji wa longtime wa Marekani Tyrese, Jokate amesema ‘hivi karibuni nimekua siongei sana na Media nimekua nafanya vitu vingi sana ambavyo havinipi nafasi, maswali ambayo sipendwi kuulizwa kuhusu maisha yangu binafsi

Hata ukiangalia page zangu za social media Instagram sipost Mchumba, sipost Wazazi na sipost ndugu kiviile kwa sababu najua ukiwapost unawaweka kwenye situation ya watu pia kuanza kuwaongelea na unajua watu wengi online wanaweza kuongea kitu chochote kile kwahiyo napenda kuwalinda watu ambao wako karibu yangu

Moja ya maswali ambayo ukimuuliza Jokate hatokujibu wala kuongelea chochote ni ishu ya uhusiano wake wa kimapenzi na mwimbaji Alikiba ambaye kipindi kilichopita tuliona wakipostiana kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, kwa sasa Jojo anaonekana sana kupromote bidhaa zake za Kidoti, mtazame kwenye hii video hapa chini akiongea zaidi.

Kidoti 2

Bidhaa ya nywele kutoka kwa Kidoti Jokate

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments