Mix

Kweli hawaongei? tumezinasa picha 3 za Jux na Vanessa jana usiku

on

Ukitazama mitandao ya kijamii kwa wiki hizi 3 hutoikosa stori ya kuachana kwa mastaa wawili wapenzi ambao ni Waimbaji wa muziki wa bongofleva Vanessa Mdee pamoja na Jux ambapo taarifa nyingine zilidai kwamba wawili hawa hata hawakutani tena wala kuongea.

Japokua hawakuongea chochote kwa Reporters, jana usiku kwenye POOL PARTY Mikocheni camera ya millardayo.com iliwanasa wakiwa wamejiachia na walionekana kuwa na mazungumzo ya mara kwa mara na kufurahi.

EXCLUSIVE VIDEO: Mume mpya wa Flora afunguka kwa mara ya kwanza toka harusi, PLAY HAPA CHINI

EXCLUSIVE VIDEO: Flora awajibu wanaosema amemzidi umri Mume wake mpya, vipi kuhusu kumualika Mume wa zamani kwenye harusi? MAJIBU YOTE YAKO HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments