Habari za Mastaa

VIDEO: Navy Kenzo walivyoperform Club Colosseum nchini Israel

on

Kundi la Navy Kenzo linaendelea na tour yake nchini Israel ambapo baada ya kufanya show katika Club Barbie iliyopo mjini Tel Aviv April 13, 2017, kundi hilo limefanya show nyingine.

April 14, 2017 Navy Kenzo wamefanya show katika Club Colosseum iliyopo pia mjini Tel Aviv. Nimekuwekea hapa chini video ya show hiyo, bonyeza play kutazama…

FULL VIDEO: Navy Kenzo walivyo-perform Club Barbie Israel

Soma na hizi

Tupia Comments