Top Stories

Surprise ya Waziri Mwigulu na Kocha Maxime kwa Vijana wa Wilaya ya Karagwe

on

Kupitia fainali ya mashindano ya mbunge wa jimbo la Karagwe Innocent Bashungwa iliyofanyika katika uwanja wa changarawe uliopo Kayanga ndani ya wilaya ya Karagwe mkoani Kagera,viongozi mbalimbali wamejitokeza na kutoa yao ya moyoni.

Akiongea baada ya mechi kocha wa timu ya Kagera Sugar Mecky Maxime amesema kuwa amebaini kuna vijana wenye vipaji kisoka lakini wanakosa nafasi na kuahidi kuwasaidia huku akiwapa ofa ya kucheza na timu ya Kagera sugar siku ya Jumatano katika uwanja wa Kaitaba uliopo Manispaa ya Bukoba.

Ulipitwa na hii? DC MSHAMA KAFUNGUKA KUHUSU WANAOMSEMA VIBAYA JPM

Soma na hizi

Tupia Comments