AyoTV

VIDEO: Vanessa Mdee alivyoiachia Nirogetour kwa watu wake Dodoma

on

Staa na mmiliki wa mdundo wa ‘NirogeVanessa Mdee ameendelea kuzunguka katika mikoa mbalimbali kuiachia burudani kwa watu wake kupitia kampeni ya ‘Nirogetour‘. May 22 Vanessa alikuwa Dodoma ambapo hapa chini tayari nimekusogezea hii video ya dakika 10.

ULIIKOSA HII? PAUL MAKONDA KAONGELEA SWALA LA WATUMISHI HEWA MKOA WA DAR

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments