Habari za Mastaa

Hit song ya Vanessa Mdee “Nobody But Me” kwenye headlines tena South Africa!!

on

Vee Money

Good news mtu wangu! Mtu wetu Vanessa Mdee anazidi kufanya vizuri katika chati za radio countdown kwenye baadhi ya nchi za Africa, na leo hit song ya Vanessa Mdee Nobody but me aliomshirikisha msanii kutoka South Africa K.O imeshika namba moja katika countdown ya Africa Boom Box ya Y.Fm radio iliyoko South Africa. 

Vanessa Mdee anatarajia katajwa kutuwakilisha TZ kwenye category ya Best Female Artist katika tuzo za MTV Africa Music Awards 2015 ambazo tutazishuhudia muda si mrefu live kutoka South Africa.

 

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments