Videos

VideoMPYA: Vanessa Mdee katuletea hii mpya inaitwa ‘niroge’

on

Single yake iliyopita ilikua ‘Never Ever‘ na aliitoa October 2015 na sasa ni March 24 2016 katuletea hii mpya inaitwa ‘Niroge’ naomba ukishaitazama niachie comment hapa chini na Vanessa atapita hapa badae kujua mashabiki wake wamesemaje kuhusu huu mdundo wake mpya…

ULIIKOSA YA BABU TALE KUMPELEKA CHIDI BENZ REHAB? YAFUATAYO NI MAMBO YA KUFAHAMU KUTOKA KWAKE..

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments