AyoTV

VIDEO: Ya Kangi lugola kwa Waziri wa fedha na utumbuaji majipu

on

Bunge la 11 mkutano wa tatu katika kikao cha 40 limeendelea tena Dodoma ambapo shughuli kubwa ilikuwa ni kuijadili bajeti kuu ya mwaka 2016/2017 Trilion 29.5  iliyowasilishwa na Waziri wa fedha na mipango Philip Mpango.

Mmoja wa wabunge waliosimama June 10 ni mbunge wa Mwibara Kangi Lugola ambaye umaarufu wake umekuwa ukiongezeka siku baada ya siku kutokana na aina yake ya kuchangia kwa kuweka utani wa maneno ambapo hapa kaingia na kumtania Waziri Mpango eti ‘Waziri wa fedha na madeni

ULIIKOSA HII? SERIKALI IMETANGAZA KUTENGA TRILION 29.5 KAMA BAJETI YAKE KUU KWA MWAKA WA FEDHA 2016/2017

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa  INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments