Top Stories

DC awawakia Wananchi “mnawazunguka Viongozi ama zenu ama zangu” (+video)

on

Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Kanali Hosea Ndagala amekemea baadhi wa watu wa kijiji cha Bukirilo wilaya ya Kakonko kuwakodishia Mashamba watu wa Nchi jirani ya Burundi hivo kusababisha kua na Uharifu maeneo hayo na kusema atakaebainika atachukuliwa hakua za kisheria na hivi karibuni wataanza kuwasaka watu wanaofanya hivo.

MAGUFULIA AMEAHIDI KUWAPONGEZA HAWA WATU SIKU ZOTE

Soma na hizi

Tupia Comments