Top Stories

JPM atengua uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri Wilaya na Manispaa Bukoba

on

Rais Magufuli leo November 6, 2017 ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba Erasto Aron Mfugale na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Vijijini Mwantum Kitwana Dau.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu Erasto Aron Mfugale na Mwantumu Kitwana Dau watapangiwa kazi nyingine na uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri hizo utafanywa baadaye.

 

“Ntawanyoosha mpaka wanyooke kabisa” – Rais Magufuli

Soma na hizi

Tupia Comments