Michezo

Kama yalikupita matokeo ya Maji Maji FC Vs Kagera Sugar yapo hapa (+Pichaz)

on

Ikiwa michezo kadhaa imepigwa katika viwanja mbalimbali Tanzania, klabu ya Maji Maji FC ya Songea ilikuwa mwenyeji wa timu ya Kagera Sugar kutoka Kaitaba Bukoba. Huenda ukawa umepata nafasi ya kupata matokeo peke yake, basi nakusogezea pichaz za mechi yenyewe.

DSC_0033

Mchezo umemalizika kwa klabu ya Maji Maji FC kuibuka na ushindi wa goli 1-0, goli pekee lilifungwa na Stamil Mbonde dakika ya 82 nakuifanya Maji Maji FC kuifunga Kagera Sugar na kufanikiwa kubakia na point zote 3.

DSC_0093

DSC_0102

DSC_0072

DSC_0046

DSC_0153

DSC_0009

DSC_0016

DSC_0027

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments