Michezo

Msimamo wa Ligi Kuu TZ Bara, unajua timu yako iko nafasi ya ngapi mtu wangu? Cheki kinachoendelea hapa..

on

VODACOM PL

Ligi Kuu Tanzania Bara bado ni story ya uzito wa juu kwenye kurasa za MICHEZO TZ.. moja ya story zilizo kwenye kurasa za michezo leo ni ile inayosomeka hivi; “Pluijm: Nimebakiza mechi tatu kutangaza Ubingwa“– Hayo kayasema Kocha wa Yanga, unadhani yatatimia ??

Nimengia ukurasa wa Instagram wa Vodacom Tanzania nimekutana na hii post; “Msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara#VPL2015 baada ya mechi ya jana. Timu yako ina pointi ngapi?“–@

Unaweza kucheki hapa mtu wangu, timu yako iko nafasi ya ngapi? Ukiiona unaweza kuniandikia comment yako tuone kama kuna matumaini ya kuuchukua Ubingwa wa #VPL2015

VODACOM PL

millardayo.com ndio sehemu yako kuzipata story zote mtu wangu, unaweza kuwa karibu zaidi na mimi kwa kujiunga kwenye Facebook, Twitter na Instagram pia zitakufikia zote mtu wangu, jiunge hapa >>>twitter Insta Facebook

Soma na hizi

Tupia Comments