Premier Bet
TMDA Ad

Michezo

Dakika 90 zimekamilika kote.. Yanga VS Coastal Union.. Azam FC VS Mbeya City na matokeo yako hapa..

on

690135076Ligi Kuu Tanzania Bara leo Timu zetu zilikuwa mzigoni, ilikuwa kwenye viwanja viwili tofauti TZ, Yanga SC walikuwa wakibanana na Coastal Union katika Uwanja wa Taifa DAR huku Azam FC wao wakibanana na Mbeya City kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi.. Nikwambie tu kwamba dakika 90 za kila mechi zimeisha, matokeo yote yako hapa.

Azam na Mbeya City wamekamilisha ratiba kwa kutoka sare ya goli 1-1 ambapo goli zote zilipatikana kati ya dakika 60 na 65 ya mchezo huo.

Kwa upande wa Yanga SC na Coastal Union, Yanga wametoka kifua mbele kwa ushindi wa goli 8-0 dhidi ya Coastal ya Tanga.

millardayo.com ndio sehemu utakayozipata story zote mtu wangu, unaweza kuwa karibu zaidi na mimi kwa kujiunga kwenye Facebook, Twitter na Instagram pia zitakufikia zote mtu wangu, jiunge hapa >>>twitter Insta Facebook

Soma na hizi

Tupia Comments