AyoTV

Video ya goli na sehemu ya mchezo wa Simba Vs Mtibwa Sugar, Full Time 1-0 Jan 16

on

Ligi Kuu soka Tanzania Bara iliendelea Jumamosi ya January 16, hii ni baada ya kusimama kwa takribani siku 10 kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2016. Miongoni mwa mchezo uliochezwa na kuteka hisia za mashabiki wengi ni mchezo kati ya Simba dhidi ya Mtibwa Sugar katika uwanja wa Taifa Dar Es Salaam. mchezo ulimalizika kwa Simba kuibuka na ushindi wa goli 1-0. Naomba nikusogezee video ya goli na sehemu ya mchezo wenyewe mtu wangu wa nguvu.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments