Michezo

Video ya magoli na matukio ya mchezo wa Yanga Vs Ndanda FC, Full Time 1-0 …

on

January 17 klabu ya Dar Es Salaam Young African iliikaribisha klabu ya Ndanda FC ya Mtwara wana kuchele katika dimba la uwanja wa taifa Dar Es Salaam, kucheza mchezo wake wa 14 wa Ligi Kuu Tanzania bara. Yanga walifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 lakini walikosa penati moja. Hii ni video ya goli na hali ya matukio ya mchezo yalivyokuwa.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments