AyoTV

VIDEO: Mafuriko Mikumi Jimboni kwa Prof Jay

on

April 25 2016 siku moja baada ya mbunge wa Jimbo la Mikumi Joseph Haule a.k.a Prof Jay kutoa msaada wa mabomba yenye thamani ya zaidi ya Tsh Milioni 10 za kitanzania katika kitongoji cha Ruaha, April 25 alilazimika kutembelea wahanga wa mafuriko wa kijiji cha Changalawe kilichopo ndani ya jimbo lake na kuangalia uharibifu uliojitokeza.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

PROF JAY ALIVYOKUTANA NA WANANCHI WAKE APRIL 2016

Soma na hizi

Tupia Comments