Habari za Mastaa

VideoMPYA: Hii ndio video mpya ya Alikiba ft. Wasanii wa King’s Music

on

Baada ya ngoma ya ‘Hela’ kufutwa baada ya saa chache kuachiwa huyu hapa Alikiba  na kundi lake jipya la Kings Music Records wanakuletea “Mwambie Sina” ndani yupo  Abdukiba, Cheed, K2ga na Killy.

“Watu wengi wakipita wanashangaa sana Duka la Wema, wanakuja kuuliza”

VIDEO: ROSTAM WAISUSIA VIDEO YAO MPYA, WAKE ZAO WAMEZUNGUMZA… BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUWATAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments