Videos

Video 10 kali kwa East Africa zilizotajwa na kituo cha TV cha Sound City cha Nigeria, watanzania 6 kwenye list

on

Jumamosi ya May 21 2016 stori ambayo imegonga headlines za muziki wa Bongo fleva ni kutoka Nigeria katika kituo cha TV cha Sound City, kituo ambacho ni moja kati ya vituo vinavyocheza video zenye viwango vya kimataifa, Sound City weekend hii imecheza TOP 10 ya video kali East Africa, kwa upande wa Tanzania wasanii sita walifanikiwa video zao kuwa katika list hiyo.

10- Ben Pol – Moyo Mashine

9- Nedy Music ft Ommy Dimpoz ‘Usiende Mbali’

8- Navio – Njogereza

7- Jaguar ft Mafikizolo ‘Going Nowhere’

6- Alikiba ‘Lupela’

5- Sauti Sol ‘Unconditional Bae’

4- Vanessa Mdee ‘Niroge’

3- Kayumba ‘Katoto’

2- Eddy Kenzo ft Niniola – Mbilo Mbilo

1- G Nako ‘Original

KAMA ULIIKOSA HII YA SNURA KUZUNGUMZIA VIDEO YAKE YA CHURA KUFUNGIWA

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments