Habari za Mastaa

VIDEO: Christian Bella ametualika kuiona studio yake mpya

on

Ayo TV na millardayo.com imempata star mwimbaji Christiani Bella kwenye Exclusive ambayo amezungumza ujio wa studio yake mpya ya kurekodi muziki kwa Audio, ambapo katika maelezo yale Bella a.k.a King Of Best Mellodies amesema studio hiyo ameifungua kwa kiasi kikubwa itafanya kazi zake.

Nimekuwekea hapa chini video ya studio ya Christian Bella, Bonyeza play kutazama.

VIDEO: Shilingi milioni 50 zinaandaliwa na RC Paul Makonda kwaajili ya kuwakutanisha kwenye steji wakali wa bongoflava wawili, hapa Christian Bella pembeni Banana Zorro. 

Soma na hizi

Tupia Comments