Top Stories

Vurugu Arusha nyumba zachomwa nakubomolewa,polisi wafyatua mabomu (+video)

on

Hali ya taharuki imezuka katika kata ya sokoni 2 Halmashauri ya Arusha baada ya wananchi kuchoma moto nyumba ya mkazi wa sokoni 2 ,Ng’ida Loisulye kwa madai ya kubomoa nyumba ya ndugu yake ,Benjamin Mollel ambayo bado kesi ilikuwa mahakamani.

POLISI WAZUIWA KWA MAWE WAKITAKA KWENDA KUZIMA MOTO “MSIPIGE GARI”

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments