Michezo

Vurugu uwanjani, Simba wagoma kupitia geti kuu Kigoma (Video+)

on

Kikosi cha Simba SC kimegoma kupitia lango rasmi liliondaliwa kupitia wachezaji kwaajili ya kuingia ndani ya Uwanja wa Lake Tanganyika Kigoma kufanya ukaguzi wa Uwanja kabla ya Final ya FA inayotarajiwa kuchezwa kesho July 25, 2021 na badala yake wametaka kuingia lango wanalolitaka na vurugu zikaanza.

BALAAH LA SINGELI NDANI TRENI, SINGELI IMEONDOKA BEHEWA

 

Soma na hizi

Tupia Comments