Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: AMPLIFAYA: Stori zote zilizosikika kwenye Amplifaya leo July 19, 2017
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 22, 2023
September 22, 2023
NEMC yatoa siku saba kwa Uongozi wa kiwanda kichotengeneza Wadudu, harufu kali yalalamikiwa
September 22, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 22, 2023
September 22, 2023
RC Geita aipongeza GGML kudhamini maonesho ya madini, 400 kushiriki
September 21, 2023
Picha: Kutokea kwenye Mkutano kitaifa unaojadili upatikanaji wa Nishati nchini
September 21, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Amplifaya Top10 > AMPLIFAYA: Stori zote zilizosikika kwenye Amplifaya leo July 19, 2017
Amplifaya Top10

AMPLIFAYA: Stori zote zilizosikika kwenye Amplifaya leo July 19, 2017

July 19, 2017
Share
0 Min Read
SHARE

Kutoka kwenye Amplifaya ya Clouds FM leo July 19, 2017 ni muendelezo wa countdown ya story kubwa 10 za siku kutoka kwenye Siasa, Michezo, Utamaduni,Uchumi, Jamii na nyanja nyinginezo katika maisha ya kila siku.

Kama hukupata nafasi ya kuisikiliza kupitia Radio kuanzia Saa 1:00 Usiku hadi Saa 3:00 Usiku millardayo.com imekukusanyia na kukuwekea karibu zaidi.

#AmplifayaUPDATES "Ukimkuta mkulima amepakia tani moja ya mazao yake anasafirisha kutoka wilaya moja kwenda nyingine hakuna kumdai kodi-JPM

— millardayo (@millardayo) July 19, 2017

#AmplifayaUPDATES Lissu leo aligoma kutoka ktk chumba cha Mahakama Dodoma alipokuwa akifanya shughuli zake za uwakili kwa kuhofia kukamatwa pic.twitter.com/RzwrtCozp3

— millardayo (@millardayo) July 19, 2017

#AmplifayaUPDATES Wanaume watatu waliomvamia na kumvua nguo mwanamke Kenya wamehukumiwa kifo, asema walitaka kumbaka akadanganya ana VVU

— millardayo (@millardayo) July 19, 2017

#AmplifayaUPDATES Uruguay wamehalalisha bangi kwa ajili ya kujiburudisha, karibu watu 5,000 wamejiandikisha kwa ajili ya kuanza kununua

— millardayo (@millardayo) July 19, 2017

#AmplifayaUPDATES "Kuna watumishi wametoa taarifa za wenye vyeti vyenye utata, tutawapata tu na mtashuhudia kitakachowapata-Waziri Kairuki pic.twitter.com/46VlOzBVlM

— millardayo (@millardayo) July 19, 2017

#AmplifayaUPDATES "Vengu ana nafuu, alipata mshtuko kwenye ubongo, inachukua muda kuwa sawa, inabidi apate muda atulie'-Joti pic.twitter.com/vfRtJgLEga

— millardayo (@millardayo) July 19, 2017

#AmplifayaUPDATES "Tumejiandaa kupindua matokeo vs Rwanda, sisi pia hatujafurahishwa na matokeo ya mwanzo kama ambavyo wengine"-Himid Mao pic.twitter.com/mWlY3IkEE4

— millardayo (@millardayo) July 19, 2017

#AmplifayaUPDATES "Ni vyema kila mtu akachunga kila neno analolisema ili lisiweze kuathiri mfumo wa maisha"- Waziri Mkuu, Majaliwa pic.twitter.com/Plgdfw7hPT

— millardayo (@millardayo) July 19, 2017

Simba leo imetangaza kumsajili Erasto Nyoni aliyekuwa Azam FC kwa mkataba wa miaka miwili #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/aIs5bRNzWO

— millardayo (@millardayo) July 19, 2017

“Ole wao wanaovujisha taarifa za wenye vyeti vyenye utata” – Serikali

You Might Also Like

Uchambuzi katika timu 32 za World cup 2022 timu 23 zina makocha wazawa , 9 pekee ndio hazina wazawa

Amplifaya: Wanaume wawaambie Wanawake mishahara yao, Whozu na Meja Kunta wasalimiana

Sababu zimetajwa za Vyuo Vikuu kufungiwa nchini

AMPLIFAYA: Ulizikosa dk 120 Radioni? Hizi stori zote za Amplifaya July 18, 2017

AMPLIFAYA: Ulikuwa mbali na Radio? Stori zote za Amplifaya July 17, 2017

TAGGED: Amplifaya
Millard Ayo July 19, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VideoMPYA: Country Boy anatualika kuitazama ‘turn up’ ft. Mwana FA
Next Article Ally Mustafa ‘Barthez’ baada ya kujiunga Singida Utd akitokea Yanga SC
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 22, 2023
Magazeti September 22, 2023
NEMC yatoa siku saba kwa Uongozi wa kiwanda kichotengeneza Wadudu, harufu kali yalalamikiwa
Top Stories September 22, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 22, 2023
Top Stories September 22, 2023
RC Geita aipongeza GGML kudhamini maonesho ya madini, 400 kushiriki
Top Stories September 21, 2023

You Might also Like

Top Stories

NEMC yatoa siku saba kwa Uongozi wa kiwanda kichotengeneza Wadudu, harufu kali yalalamikiwa

September 22, 2023
Top Stories

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 22, 2023

September 22, 2023
Top Stories

Picha: Kutokea kwenye Mkutano kitaifa unaojadili upatikanaji wa Nishati nchini

September 21, 2023
Top Stories

Mabingwa wenye bidhaa za kielectronic ‘Haier’ leo wametangaza habari hii njema mbele ya Waandishi wa Habari

September 21, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?