Top Stories

Alichozungumza Lema baada ya kutoa ushahidi wa Madiwani kurubuniwa

on

Jumapili ya October 1, 2017 Wabunge Godbles Lema wa Arusha Mjini na Joshua Nassari wa Arumeru Mashariki, wameonesha video wanayodai ni ushahidi ikiwaonesha Madiwani 10 wanaodaiwa kuhongwa ili wahame CHADEMA.

Baada ya kuonesha video hiyo, Mbunge Lema alizungumza.

BREAKING: TAMKO la Wazee wa CHADEMA mbele ya Wanahabari leo

Soma na hizi

Tupia Comments