Top Stories

Siku 123 tangu ajali manusura wa Lucky Vincent wamefanya mahafali leo

on

Wanafunzi manusura wa ajali ya basi la Wanafunzi wa Lucky Vincent iliyotokea May 6, 2017, Karatu na kupoteza maisha ya wanafunzi 32, walimu 2 na dereva leo September 9, 2017 wamefanya mahafali.

Watoto hao ambao ni Sadia, Wilson na Doreen wamefanya mahafali leo ikiwa ni baada ya takribani siku 123 tangu walipopata ajali kisha kupelekwa Marekani kwenye matibabu na kurejea nchini August 18, 2017.

ULIPITWA? Manusura wa ajali ya basi la Shule ya Lucky Vincent walivyowasili…tazama kwenye hii video!!!

ULIPITWA? Watoto manusura wa ajali ya basi la Wanafunzi wa Lucky Vincent walivyopokelewa KIA

Soma na hizi

Tupia Comments