Breaking News

“Inawezekana Mungu alikosea kuweka Tanzanite kwa Watanzania” – President JPM

on

President Magufuli yupo katika Mkoa wa Manyara kwenye ziara ya kikazi ambapo akiwa huko kwenye Wilaya ya Simanjiro alipata nafasi ya kuwahutubia Wananchi ambapo pamoja na mambo mengine alizungumzia ishu ya madini ya Tanzanite ambayo hayapatikani sehemu nyingine duniani zaidi ya Tanzania.

Rais Magufuli amesema licha ya madini hayo kupatikana Tanzania pekee lakini hayajamnufaisha Mtanzania kwa sababu ya kutokuwa na usimamizi mzuri huku viongozi waliopewa dhamana kusimamia rasilimali wakitumika kuwakandamiza wananchi.

Tazama kila kitu kwa kuplay kwenye video hii hapa chini!!

TUNDU LISSU ASIMULIA: Anavyofatiliwa na gari asilolijua…. bonyeza play hapa chini kumtazama

Soma na hizi

Tupia Comments