Top Stories

Meli ya kifahari kutoka OMAN ilivyoingia ZANZIBAR

on

Jana October 12, 2017 Visiwani Zanzibar imewasili Meli ya Kifahari ya Kitalii ikiwa na viongozi wa Oman ambao lengo kuu pamoja na kudumisha uhusiano mwema, wamekuja kutalii.

Naambiwa ni Meli ya Kifalme ambayo inaitwa Fulk Al Salamah ambayo ni ya Mfalme wa Oman, Sheikh Sultan Qabous bin Said ikiwa na ujumbe wa watu 300 wa Serikali ya Oman wanaomuwakilisha Mfalme wakiongozwa na Waziri wa Mafuta na Gesi, Mohamed Al-ramh.

BREAKING: Jeshi polisi DSM wametoa siku 3 kwa Sheikh Ponda kujisalimisha

Soma na hizi

Tupia Comments