Breaking News

BREAKING NEWS: Nyumba ya kwanza ya Lugumi iliyopigwa Mnada

on

Leo September 9, 2017 Kampuni ya Udalali ya Yono Auction Mat imepigwa mnada nyumba tatu za kifahari ambazo ni mali ya Lugumi Enterprises  Ltd baada ya mmiliki wake kushindwa kulipa kodi kwa TRA.

Tazama hapa kujionea nyumba  ya kwanza jinsi ilivyopigwa mnada na kupatikana mnunuzi.

Nyumba zinazopigwa Mnada DSM baada ya Mmiliki kushindwa kulipa kodi TRA

Soma na hizi

Tupia Comments