fB insta twitter

‘Sakata la vyeti feki lawa gumzo kwa wabunge Dodoma’

on

Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter>>>@millardayo na Zote nakusogezea hapa chini.

Moja ya stori kubwa May 29 2016 ni hii kutoka gazeti la Nipashe yenye kichwa cha habari ‘Sakata la vyeti feki lawa gumzo kwa wabunge’. Gazeti hilo limeripoti kuwa siku moja baada ya serikali kutangaza kuwa itachunguza uhalali wa vyeti vya watumishi wa umma wakiwamo wabunge, uongozi wa Bunge umesema hauna kipingamizi kuhusu uamuzi huo.

Katika mahojiano na Nipashe Naibu Spika wa Bunge, Tulia Akson alisema uongozi wa Bunge hauna kipingamizi juu ya kukagua vyeti vya elimu vya wabunge ingawa bado haujapewa barua rasmi kuhusu uamuuzi huo.

ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI YA MAY 29 2016? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments