Habari za Mastaa

Namna vitendea kazi hivi vinapokosewa utumiaji wake.

By

on

taifa2Hizi ni picha ambazo zimepigwa zikionyesha ndugu zetu hao wakijisaidia haja ndogo kwenye sink mahali ambako  baada ya kujisaidia unatakiwa kunawa mikono,kwa maelezo ya mpigaji wa picha hizi anadai vyoo hivi ni vya Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

taifa

Tupia Comments