AyoTV

BREAKING: Video ikimuonyesha Askofu Gwajima akitoka Polisi baada ya kuachiwa

on

Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima jioni ya leo February 11 2017 ameachiwa na Polisi baada ya kushikiliwa Mahabusu toka Alhamisi baada ya kwenda kituoni hapo kufuatia kutajwa kwenye orodha ya Mkuu wa Mkoa Dar es salaam Paul Makonda na sakata la dawa za kulevya, tazama kwenye hii video hapa chini kujionea ilivyokua leo.

VIDEO: Unapotangaza Mtu aje na Polisi saa 5 wewe ni nani?  – Freeman Mbowe, FULL VIDEO ITAZAME HAPA CHINI

VIDEO: Askofu Gwajima aongea baada ya kutwaja na Mkuu wa mkoa Paul Makonda kwenye orodha ya sakata la dawa za kulevya Dar es salaam

KWA BREAKING NEWS ZOTE UNGANA NA MIMI KWENYE FB, TWITTER, INSTA, YOUTUBE, APP KWA ANDROID NA IOS KOTE HUKO KWA JINA HILOHILO LA @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments