Habari za Mastaa

VIDEO: Rostam, Maua Sama, kwa pamoja wameikota mbele ya watu wao

on

Roma na Stamina hawajaacha kuendeleza ubunifu wao kwenye show za Fiesta zinanoendelea mikoano ambapo time hii walipanda tena kwenye stage ya Kahama na Maua Sama ambapo wameimba ‘Iokete remix’ na  kufanya uwanja uwe na vibe kama lotee.

VIDEO: Joh Makini, amelikubali vibe la watu wa Kahama

Soma na hizi

Tupia Comments