Habari za Mastaa

Jibu la Alikiba kuhusu kutengana na mke wake Amina

on

Moja ya swala ambalo liliwahi kusambaa mtandaoni kuhusu Alikiba ni pamoja na hili la kutengana na mke wake Amina ambaye walifunga ndoa mwaka mmoja uliopita na mpaka sasa wakiwa tayari wamebahatika kupata mtoto mmoja.

Alikiba hakuwahi kuongea chochote kuhusu hilo lakini leo kupitia XXL ya Clouds FM amejibu hilo kwa kusema yeye na mke wake hawajatengana ila yupo na familia yake kama kawaida.

….>>>“Nipo na familia yangu kama kawaida, na tupo safi kabisa. mtoto pia anaendelea vizuri” – Alikiba

VIDEO: CHEKA TU ILIVYOTOA ZAWADI YA GARI, KUKU, SABUNI NA SUKARI KWA COMEDIANS WAKE ‘NDIVYO TULIVYO JAALIWA’

 

Soma na hizi

Tupia Comments