Habari za Mastaa

Wema Sepetu na ex boyfriend wake ‘Luis Munana’….Wamerudiana?

By

on

Wema Sepetu na aliyekuwa mshiriki wa Big Brother Africa aliyeiwakilisha Namibia Luis Munana, walishawahi kuwa wapenzi suala ambalo halikuwa siri, kwani account zao za mitandao ya kijamii hususani Instagram, zilijieleza lakini baadae waliachana na kila mmoja alifuta picha zote walizowahi kupiga pamoja.

idris

Baadae Wema akaweka wazi mapenzi yake kwa mshindi wa Big Brother Africa Idriss Sultan ambaye alikuwa rafiki wa ex boyfriend wake. Baada ya Wema  na Luis kila mmoja kufuta picha za mwenzake instagram, hawakuwahi kupostiana tena, hadi Alhamisi ya June 23 2016 kila mmoja alipoamua kumpost mwenzake na maneno ambayo hayakueleweka walikuwa wanamaanisha nini.

wema

wemaa

ULIICHECK HII YA YOUNG DEE KWENYE STUDIO ZA MILLARD AYO..ISHU YA MADAWA YA KULEVYA

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments