Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Waagizaji, Wazalishaji chuma watakiwa kuzingatia Viwango TBS
Share
Notification Show More
Latest News
Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’
April 1, 2023
Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi
April 1, 2023
Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’
April 1, 2023
Picha: Maafisa habari washuhudia maboresho ya Miundombinu, mifumo katika bandari ya DSM
April 1, 2023
Picha: Mwenyekiti wa CCM Dkt Samia aongoza kikao maalum cha kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM
April 1, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Waagizaji, Wazalishaji chuma watakiwa kuzingatia Viwango TBS
Top Stories

Waagizaji, Wazalishaji chuma watakiwa kuzingatia Viwango TBS

January 25, 2023
Share
2 Min Read
SHARE

Waagizaji,wazalishaji na wasambazaji wa bidhaa za chuma nchini wametakiwa kuhakikisha kuwa bidhaa wanazoingiza ni zile zinazokidhi vigezo vyote vya ubora kwa mujibu wa viwango vya kitaifa na kuzingatia taratibu zote za uingizaji hapa nchini.

Akizungumza mapema leo jijini Dar es salaam, wakati wa ufunguzi wa kikao kati ya TBS hiyo na waagizaji na wasambazaji wa bidhaa za chuma kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la viwango Tanzania TBS, Dkt Candida Shirima, amesema kuwa kila mzalishaji wa bidhaa hizo anatakiwa kuhakikisha anazalisha bidhaa zinazokidhi vigezo vyote vya ubora kwa mujibu wa viwango.

Aidha Dkt Shirima amesema kuwa bidhaa hizo zinatakiwa kuandikwa taarifa zote muhimu ambapo kwa mujibu wa viwango cha kitaifa zinazotakiwa kuandikwa kwenye bidhaa hizo ni grade ya bidhaa, jina la mzalishaji,vipimo na namba ya toleo

Katika hatua nyingine TBS imesema itaendelea kutekeleza kikamilifu jukumu la kuhakikisha ubora wa bidhaa hizo hapa nchini ikiwa ni pamoja na kuzifanyia ukaguzi na uchunguzi wa kimaabara kabla ya kuingia nchini na wakati zinapokuwa katika soko,kufanya ukaguzi wa viwanda vya uzalisahaji na kudhibitisha ubora wa bidhaa zinazozalishwa ,kufanya ufuatiliaji katika soko mara kwa mara ,kutoa elimu na kuchukua hatua stabilizer kwa wale wote wanaokiuka matakwa ya Sheria.

Kwa upande wao baadhi ya washiriki wa kikao hicho wamesema kuwa mkutano huo utakuwa msaada kwao kuhakikisha wanazalisha bidhaa zenye viwango sahihi Kalinga a na namna sheria na matakwa yanavyohitaji ili kuweza kukuza masoko yao na kupata wateja wengi Zaidi.

You Might Also Like

Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’

Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi

Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’

Picha: Maafisa habari washuhudia maboresho ya Miundombinu, mifumo katika bandari ya DSM

Picha: Mwenyekiti wa CCM Dkt Samia aongoza kikao maalum cha kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM

TAGGED: TZA HABARI
Pascal Mwakyoma TZA January 25, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Mfahamu Mwanamke anayetafutwa na FBI, ametapeli $Bil 4, ‘Yuko Top ten wahalifu hatari Duniani”
Next Article Mkali wa Amapiano ‘Tyler ICU’ kutua Dar, kuwaburudisha wadau watakaofika Elements BAR Jan 26
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’
Top Stories April 1, 2023
Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi
Top Stories April 1, 2023
Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’
Top Stories April 1, 2023
Picha: Maafisa habari washuhudia maboresho ya Miundombinu, mifumo katika bandari ya DSM
Top Stories April 1, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’

April 1, 2023
Top Stories

Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi

April 1, 2023
Top Stories

Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’

April 1, 2023
Top Stories

Picha: Mwenyekiti wa CCM Dkt Samia aongoza kikao maalum cha kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM

April 1, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?