Michezo

Waamuzi wa EPL wafeli vipimo vya FIFA

on

Marefa wa EPL Andy Madley na David Coote wamefeli vipimo vya utimamu (fitness) vya waamuzi na kushindwa kuingia katika list ya waamuzi wa kimataifa wa FIFA, wawili hao inadaiwa wameshindwa kwa sababu ya baridi na kuugua mafua.

Wawili hao wameshindwa kufikia viwango wanavyovitaka FIFA vya utimamu wa mwili kwa marefa kitu ambacho kinaaminika kuwa kinasaidia sana marefa kufanya vizuri mchezoni, kwani kuwa timamu itakuwa ni rahisi kwao kufanya maamuzi sahihi katika kila kwa sababu wanaweza kufika kila mahali,

VIDEO: MASAU BWIRE ATOLEWA NA WANAJESHI, MASHABIKI WA YANGA WAMZONGA

Soma na hizi

Tupia Comments