on air with millardayo

VIDEO: Wabogojo afunguka fursa zilizopo Maccau China

on

Mchekeshaji ambaye ni Mtanzania anayefanya kazi zake za sanaa Maccau nchini China Wabogojo, amezungumza na Millard Ayo alipotembelea ofisi zake na kuzungumzia fursa mbalimbali ambazo watanzania  wanaweza kunufaika nazo huko Maccau China………

>>>’Kwenye group Maccau tuko Wanzania kumi na mbili na tunalipwa vizuri tu na maisha yanakwenda vizuri sana, fursa zilizopo kule ni sanaa yaani ukiwa  unafanya kazi nzuri, yaani mfano mzuri msanii wa kuimba basi unafanya vizuri tu‘ 

>>>’kuna macasino mengi tu watu wanafanya show pia kuna Warussia wengi sana wanakuja na michezo yao wanafanya casino hili na lile show kwa hiyo maisha yao yanaenda vizuri kabisa

Unaweza kuangalia video hii hapa chini

ULIIKOSA EXCLUSIVE INTERVIEW YA MC PILIPILI KUHUSU MAISHA YAKE NA COMEDY? ITAZAME HAPA

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments