Mix

Wabunge Saba wafungiwa kuhudhuria vikao vya bunge

on

Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge imewatia hatiani wabunge saba kwa makosa mbalimbali ikiwemo kudharau madaraka ya bunge. Wabunge Easther Bulaya na Tundu Lissu wameadhibiwa kutokuhudhuria vikao vilivyobaki vya mkutano wa tatu na vikao vyote vya mkutano  wa nne.

Wabunge Pauline Geku, Halima Mdee, Zitto Kabwe, Godbless Lema wasiudhurie vikao vyote vilivyobaki vya mkutano wa tatu na Mbunge John Heche hatahudhuria vikao kumi vya mkutano wa tatu. Makosa hayo waliyafanya mkutano wa pili mwezi January.

ULIKOSA HII YA FREEMAN MBOWE KUZUNGUMZA BAADA YA UPINZANI KUTOLEWA TENA BUNGENI/ UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments