Top Stories

Wabunge wa CHADEMA wagoma kujiweka karantini wahudhuria Bunge

on

Licha ya CHADEMA kuwataka Wabunge wake kutohudhuria vikao vya Bunge la Bajeti na kujiweka “karantini”, baadhi ya Wabunge wa Chama hicho wamehudhuria kikao cha Bunge hii leo jijini Dodoma

Wabunge hao ni David Silinde wa Jimbo Momba, Peter Lijualikali Jimbo la Kilombero na Joseph Selasini Jimbo la Rombo.

DIAMOND PLATNUMZ ASIKIKA CLOUDS FM, KUSAGA ATAKA WIMBO WAKE UPIGWE

Soma na hizi

Tupia Comments