Top Stories

“Wachapakazi kama Aweso siwatumbui” Rais Samia

on

“Hawa Mawaziri kama Aweso Vijana Wachapakazi, kwahiyo mkisikia tunatumbua tunatumbua wale legelege lakini wanaochapa kazi kama Aweso, kwanini tutumbue!?, tunataka matunda yaonekane kwa Wananchi na matunda yameanza kuonekana”

“Changamoto kubwa hapa Arusha ni maji na barabara, maji tumeshafanyia kazi tangu awamu ya tano kazi zinaendelea lakini barabara nazo ni changamoto kubwa, tutakaa na Uongozi wa Mkoa wa Arusha na Wilaya zake tuangalie barabara zenye kipaumbele tuanze kuzishughulikia”β€”β€”β€”Rais Samia akiwa Arusha leo

Soma na hizi

Tupia Comments