Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Wachezaji watatu PSG wakutwa na corona
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2022
August 19, 2022
Kiwanda cha Chai Mponde Ujenzi wake umefikia 95%
August 18, 2022
Ajali ya Basi yaua watano Singida, Polisi azungumza hali ya Majeruhi
August 18, 2022
Huyu ndiye Rais aliyekataa mshahara wake kwa miezi nane, Ukali wake baada ya meya kununuliwa VX
August 18, 2022
Utacheka vituko vya RC Makongoro, agusia Uongozi wa JPM, “Sijaambulia kitu, ila Mama kanipa heshima”
August 18, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Wachezaji watatu PSG wakutwa na corona
Sports

Wachezaji watatu PSG wakutwa na corona

September 4, 2020
Share
1 Min Read
(COMBO) This combination of file pictures made on September 2, 2020, shows (L-R) Paris Saint-Germain's Argentinian forward Leandro Paredes in Saint-Germain-en-Laye, west of Paris, on June 22, 2020; Paris Saint-Germain's Brazilian forward Neymar in Lisbon on August 20, 2020; and Paris Saint-Germain's Argentinian forward Angel Di Maria in Saint-Germain-en-Laye on July 2, 2020. - Neymar, Di Maria and Paredes have tested positive for COVID-19 (novel coronavirus) sources told AFP on September 2, 2020, following an announcement by the club that three of its players had tested positive for the virus. (Photo by Lluis GENE / AFP)
SHARE

Mshambuliaji wa timu ya Paris Saint-Germain, Neymar de Santos, ameripotiwa kukutwa na virusi vya corona pamoja na wachezaji wengine watatu.

Hata hivyo Paris Saint-Germain ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Ufaransa na kumaliza nafasi ya pili kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, wameshindwa kuwaweka wazi wachezaji hao wengine ambao wamekutwa na virusi hivyo.

Lakini Angel Di Maria mwenye umri wa miaka 32 na Leandro Paredes mwenye miaka 26, wanatajwa kuwa kati ya wachezaji hao kwa mujibu wa L’Equipe.

Mara baada ya Paris Saint-Germain kumaliza mchezo wa mwisho wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Bayern Munich, Agosti 23, wachezaji hao watatu walionekana kuwa pamoja kwenye visiwa vya Ibiza wakiponda raha ambapo ni Neymar, Di Maria na Paredes.

INASIKITISHA MATESO MAUAJI YA MTU MWEUSI AKIWA MTUPU, POLISI WALIVYOMTESA

You Might Also Like

Samatta amerejea KRC Genk ya Ubelgiji

Manara na Wana-Yanga wakomaa kuwa kejeli Simba ‘Mlete Mzunguu’

Club ya Wolves ya England kuleta makocha wawili Tanzania

Inter Milan wawapa Yanga cha kusema, Shaffi Dauda atia neno, Manara apigilia msumari

Barbara awatuliza mashabiki wa Simba, wataka Mzungu aachwe wana mashabiki na mbinu za Kocha

TAGGED: michezo
Pascal Mwakyoma TZA September 4, 2020
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Boss Seba azungumzia ujio wa kipindi kipya baada ya Jahazi kufungiwa (+video)
Next Article Kauli ya Magufuli juu ya Chenge kutopitishwa kugombea Ubunge
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2022
Magazeti August 19, 2022
Kiwanda cha Chai Mponde Ujenzi wake umefikia 95%
Mix August 18, 2022
Ajali ya Basi yaua watano Singida, Polisi azungumza hali ya Majeruhi
Top Stories August 18, 2022
Huyu ndiye Rais aliyekataa mshahara wake kwa miezi nane, Ukali wake baada ya meya kununuliwa VX
Top Stories August 18, 2022

You Might also Like

Top Stories

Ajali ya Basi yaua watano Singida, Polisi azungumza hali ya Majeruhi

August 18, 2022
Top Stories

Utacheka vituko vya RC Makongoro, agusia Uongozi wa JPM, “Sijaambulia kitu, ila Mama kanipa heshima”

August 18, 2022
Top Stories

Shaka: CCM inafuatilia kwa karibu utekelezaji mkakati wa kuwakwamua vijana

August 18, 2022
Top Stories

Jamaa ajikata koromeo makusudi aeleza sababu ‘Maisha ni magumu, ajira zinasumbua’

August 17, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?