Top Stories

Alieiba Watoto wadogo afunguka “sikua na nia mbaya, ukifanya uhalifu Mbeya hutoki” (+video)

on

Leo December 4, 2019 Hatimaye Watoto wadogo wawili waliopotea Mkoani Mbeya leo Kamanda wa Polisi Mbeya Ulrich Matei amewakabidhi kwa wazazi wao mkoani Mbeya.

Jeshi la Polisi Mkoa humo limesema, limemkamata mtuhumiwa Hawa Ally Mkalia kwa kosa la kuwaiba watoto wawili na kuwatoroshea Mkoa wa Tabora.

“SIMBA ISIPOSHINDA NYUMBA YANGU IUZWE, YANGA NI KAMA KUFYEKA UYOGA” SHABIKI

“YANGA TUNAFANYA MAAJABU, MPIRA WA UCHAWI NA KUBEBANA HAUPO” SHABIKI

Soma na hizi

Tupia Comments