AyoTV

FULLVIDEO: Mambo manne aliyoyazungumza Jaji Warioba kuhusu Mwl Nyerere

on

Leo April 13 2017 limefanyika kongamano la kongamano Maalumu la maadhimisho ya kumbukizi ya Mwalimu Nyerere ambapo viongozi mbalimbali wakuu waliwasilisha mada mmoja wao ni Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba ambapo ameeleza mambo manne kuhusu uongozi wa Mwl Nyerere Bonyeza play hapa chini kutazama….

VIDEO: ‘Kampuni zote za madini hazijawahi kulipa kodi, hapa kuna tatizo’ -CAG, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments