Top Stories

Wafanyabiashara waliorushiana Risasi wafikishwa Mahakamani (video+)

on

Mahakama ya hakimu mkazi Wilaya ya Arusha imewasomea maelezo ya awali wafanyabiashara wawili maarufu mkoani Arusha Philemon Molel pamoja na Baraka Mollel shtaka la matumizi mabaya ya silaha.
Ayo TV & Miullardayo.com imekuandalia taarifa kamili hapa bonyeza play kutazama.

WATU WATANO WAFARIKI KWENYE AJALI ARUSHA “YAMEGONGANA USO KWA USO”

Soma na hizi

Tupia Comments